AGNES KUONEKANA KWA MARA YA KWANZA KATIKA VIDEO YA TUNDAMANI | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, December 30, 2013

AGNES KUONEKANA KWA MARA YA KWANZA KATIKA VIDEO YA TUNDAMANIVideo queen, Agnes Gerad'Masogange'.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Khalid Ramadhani Tundamani anatarajia kumwonyesha kwa mara ya kwanza 'Video queen' Agnes Gerad maarufu Masogange katika video ya wimbo wake wa Msambinungwa.
Akiongea Tundaman alisema ataondoka nchini Januari 5, 2014 kwenda Nairobi kwa ajili ya utengenezaji wa Video hiyo na kwamba ameamua kufanya video hiyo akiwa na Masogange kwani ni msichana anayefanya vizuri katika video nyingi za wasanii pia ana kipaji cha kazi hiyo.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers