KAMA KAWAIDA YAKE SINTAH ..HIVI NDIVYO ALIVYO FUNGUKA KUHUSU JACK CLIF KUDAKWA NA MADAWA CHINA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, December 30, 2013

KAMA KAWAIDA YAKE SINTAH ..HIVI NDIVYO ALIVYO FUNGUKA KUHUSU JACK CLIF KUDAKWA NA MADAWA CHINA
daaah Ms Jackie Cliff
sijui nani atawafundisha fashion sasa
its not easy lets pray for her


mzigo uliomponza

ndani ya ndala
jamani tafuteni hela zenu kidogo
kidogo endeleeni kutaka ku
maintain status bongo
yatawakuta  tu

Ze Chinese no kutakaring ze muchezo
Easy come, Easy Go

dada aliesafiri na Jackie
inasemekana ni raia kutoka Rwanda


our own Boss-Lady in Tanzania

Mwanamitindo na video vixen maarufu, Jackie Cliff mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao.Jackie, ambaye pia aliwahi kushiriki mashindano ya umiss na kushika nafasi ya juu alikutwa na dawa hizo tumboni mwake baada ya kushtukiwa airport na kufanyiwa X-ray.Baada ya uchunguzi alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.Mrembo huyo ambaye hivi karibuni ali-hit kama video vixen katika video ya Nataka Kulewa ya Diamond Platinums, alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita.

Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko China.Kwa mujibu wa sheria za huko, adhabu ya kosa la kusafirisha unga ni kifo.
JOKE

so, who will  be our new boss lady in Tanzania??

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers