MPOTO AZINDUA WIMBO WA ‘WAITE’ OFISINI KWAKE MWANANYAMALA DAR | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, December 30, 2013

MPOTO AZINDUA WIMBO WA ‘WAITE’ OFISINI KWAKE MWANANYAMALA DAR


Mgeni rasmi, Meya wa Kinondoni, Mhe. Yusufu Mwenda akisaini kitabu cha wageni.
Mrisho Mpoto (kulia) akitoa maelezo kwa mgeni rasmi (hayupo pichani).
…Akisisitiza jambo.
Mwenda akitoa ujumbe katika hafla hiyo.
Diwani wa Kata ya Hananasifu, Abbas Tarimba (kushoto) akiteta jambo na Mwenda (katikati). Kulia ni Naibu Meya Mhe. Songoro Mnyonge.
Joka kubwa likitinga eneo la shughuli hiyo kuongeza mbwembwe.
Kijana aliyevaa kinyago akipiga ngoma kwa umahiri mkubwa.
Meneja wa Clouds FM, Ruge Mutahaba (wa pili kushoto), akitoa nasaha.
Myonge (kushoto) akitoa nasaha zake. Kulia ni Abbas.
Mwenda akinunua CD ya Waite kwa 100,000/=.
MWANAMUZIKI wa nyimbo za asili kwa staili ya methali, Mrisho Mpoto, jana usiku ‘alifunga mwaka’ kwa mbwembwe baada ya kuzindua wimbo wake mpya wa bendi yake uitwao Waite katika ukumbi ulio katika ofisi zake huko Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Mhe. Yusufu Mwenda, Mstahiki Meya wa Kinondoni ambapo onyesho hilo lilipambwa vilivyo hususani na wanenguaji wake.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers