MTANZANIA HUYU KATAJWA KUWA NI MOJA YA WANAWAKE WAREMBO ZAIDI BARANI AFRIKA. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, December 29, 2013

MTANZANIA HUYU KATAJWA KUWA NI MOJA YA WANAWAKE WAREMBO ZAIDI BARANI AFRIKA.


Jarida la Glitz Africa limetoa orodha ya wasichana 20 warembo zaidi barani Afrika (20 Most Beautiful Women in Africa) ambapo hata hivyo imetawaliwa na wanawake wa Nigeria na Ghana.
Millen-Magese-x-Joice-Jacobs_1-2
Ni Happiness Millen Magese pekee amekuwa mwanamke kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kuingia kwenye orodha hiyo.
Millen_Magese-31
Orodha nzima ni hii:
Leila Lopes (Angola), Vimbai Mutinhiri (Zimbabwe), Oluchi Orlandi (Nigeria), Yvonne Nelson (Ghana), Dillish Mathews (Namibia), Agbani Darego (Nigeria), Tiwa Savage (Nigeria), Stephanie Linus (Nigeria), Genevieve Nnaji (Nigeria), Joselyn Dumas (Ghana), Yvonne Okoro (Ghana), Jackie Appiah (Ghana), Millen Magese (Tanzania), Omotola. Jalade-Ekeinde (Nigeria), Zainab Sheriff (Sierra Leone), Naa Okailey Shooter (Ghana), Nadia Buari (Ghana), Lerato “Lira” Molapo (South Africa), Babalwa “Barbz” Mneno (South Africa), Elham Wagdi (Egypt).

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers