TASWIRA ZA HAFLA YA KUKABIDHI RASIMU YA PILI YA KATIBA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, December 31, 2013

TASWIRA ZA HAFLA YA KUKABIDHI RASIMU YA PILI YA KATIBA
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mhe. Joseph S. Warioba mara baaada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Hall kupokea Rasimu ya Pili ya Katiba. Kulia ni Mhe. Assaa Rashid, Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
 Rais Kikwete akisalimiana na Mhe Assaa Rashid, Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Rais Kikwete akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu huku Jaji Mkuu wa Tanzania Bara Mhe Mohamed Chande Othman, Spika wa Bunge la Muungano Mhe Anne Makinda na Spika wa Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho wakisubiri zamu zao.
 Rais Kikwete akimuamkia  na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
 Rais Kikwete akimuamkia Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Cleopa David Msuya.
 Meza kuu.
Sehemu ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
 Jukwaa kuu la pili.
Sehemu ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akiwa na wajumbe wenzie wa Tume na maofisa wa serikali.
Dkt Asha Rose Migiro, Mama Amne Salim na Mama Warioba.
 Sehemu ya wananchi walioshuhudia tukio hilo la kihistoria.
Wananchi wakiwa katika hafla hiyo.
 Wananchi wakifuatilia hafla hiyo.
 Watangazaji wa TBC wakiwa kazini kurusha live tukio hilo.
 Baadhi ya wazee mashuhuri katika hafla hiyo.
 Wadau mbalimbali.
 Wadau katika hafla hiyo.
Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa.
 Wadau wa habari.
 Wanasheria nguli, Mzee Mark Bomani na Profesa Issa Shivji wakiwa miongoni mwa wadau.
Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe Alfani Mpango akijumuika na wadau.
 Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na mabalozi.
Wadau na maafisa wa serikali.
Maafisa wa ofisi wa Masajili wa vyama.
 Wadau.
Wadau na maafisa mbalimbali.
Makatibu wakuu.
Mawasiri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mawaziri wa Bara na Zanzibar.
 Mawaziri, wabunge na maafisa wa serikali.
 Sehemu ya mawaziri wa bara na wa Zanzibar.
 Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi (wa tatu kushoto) akiwa ameketi na wabunge na viongozi wa vyama mbalimbali.
 Sehemu ya waliohudhuria hafla hiyo.
 Meza kuu ikimsikilia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mhe. Joseph S. Warioba
 Rais Kikwete akimkabidhi Sir George Kahama nakala ya Rasimu ya Pili ya Katiba
 Rais Kikwete akiwakabidhi Mzee Hassan Nassoro Moyo na Jenerali Sarakikya nakala ya Rasimu ya Pili ya Katiba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akisoma hotuba yake
 Rais Kikwete akihutubia
Wabunge na wadau wengine wakifurahia hotuba ya Rais Kikwete
 Rais Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwapongeza wajumbe wa Tume kwa kazi nzuri
Picha ya pamoja ya viongozi wakuu na wajumbe wa Tume.
 Picha ya pamoja ya viongozi wakuu, wajumbe wa tume.
Viongozi wakuu, viongozi wa vyama vya siasa na wajumbe wa Tume.
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na Mhe Tundu Lissu.
 Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 Rais Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mbunge wa Kuteuliwa Mhe James Mbatia
Nikiripoti kutoka hapa katika viwanja vya Karimjee ni mimi.... wa Mlimani TV

PICHA NA IKULU

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers