BABA KANUMBA AFUNGUKA YAMOYONI NAKUSEMA HAYA HAPA KUHUSU MICHAEL ELIZABETH (LULU) YASOME | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, January 11, 2014

BABA KANUMBA AFUNGUKA YAMOYONI NAKUSEMA HAYA HAPA KUHUSU MICHAEL ELIZABETH (LULU) YASOME

January 7 2014 ilitoka stori ya mwigizaji Lulu ikihusu alichokiandika kwenye page yake ya instagram ambacho ndio hiki hapa chini, ilikua ni siku ya kuzaliwa ya Mama wa marehemu Steven Kanumba.


luliu

Baada ya kuandika hayo maneno Lulu aliambatanisha na hizi picha hapa chini..


l2
l1
Sio kitu kigeni kwa yeyote anaefatilia stori za nchini Tanzania kwenye mitandao na Magazeti, stori ambazo zimekua zikiendelea kuandikwa kwenye baadhi ya vyombo hivyo vya habari huku vingine vikithubutu kumkariri Baba Kanumba, ni kuhusu maneno mabaya na ya chuki ambayo yamekua yakidaiwa kutolewa na mzee huyu kuhusu Lulu.
Kama umewahi kusoma chochote kibaya kilichosemwa na Baba Kanumba kuhusu Lulu, anapenda uyajue haya anayosema kupitia Exclusive interview ya  

‘Mimi Lulu sijamchukia… tangu zamani wananiuliza nasema sina ugomvi na Lulu kwa sababu walikua watu wawili, walikua wapenzi wawili….. hatuwezi kuingilia watu walikua chumbani utajuaje nani kamuanza mwenzake? alafu wakiniingiza mimi kwamba namchukia Lulu.. hata siku moja sijawahi kumzungumzia, hao watu walipakazia na ni waongo…. siwezi kumchukia Lulu wala kumjadili’ – Baba Kanumba

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers