BALAAA.. Wanenguaji wa khanga moja wafanya kufuru mpambano wa ngumi! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, January 20, 2014

BALAAA.. Wanenguaji wa khanga moja wafanya kufuru mpambano wa ngumi!


Wanenguaji wanaounda kundi la Khanga Moja  wakitumbuiza katika mashindano ya ngumi yaliyofanyika katika ukumbi wa Shimbikati maeneo ya Kiluvya, ambapo kundi hilo lilipata nafasi ya kutoa burudani kwa watazamaji waliojitokeza kwenye mpambano huyo.

Kundi hili limeshawahi kupigwa marufuku na wabunge wa jamhuri ya Muungano Tanzania kutokana na mtindo wao wa uchezaji unaodai kupoteza maadili ya kitanzania.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers