BOYFRIEND WA JACKIE CLIFF AFUNGUKA NA KUWEKA BAYANA ALICHOOONGEA NA JACKIE...TAZAMA VIDEO HAPA...! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 14, 2014

BOYFRIEND WA JACKIE CLIFF AFUNGUKA NA KUWEKA BAYANA ALICHOOONGEA NA JACKIE...TAZAMA VIDEO HAPA...!


Maelezo yake yalifanya kuwe na maswali zaidi manake kila mmoja alikua anajiuliza atakua wapi Mtanzania huyu baada ya taarifa kusambaa kwenye vyombo vya habari Tanzania kwamba kakamatwa huko Macao?

Jux na Jackie
Boyfriend wake ambae ni msanii wa bongofleva Jux ameongea kwenye Exclusive interview na millardayo.com Jan 13 2014 saa kadhaa baada ya kuweka post ambayo ilionyesha wamewasiliana muda mfupi uliopita.

Baadhi ya maswali aliyoyajibu kwenye video hapa chini ni pamoja na Wameongea lini mara ya mwisho? Jack anasemaje? Jack alikua wapi wakati wanaongea? yuko nchi gani? anarudi lini bongo? na mengine….

CHECK VIDEO HAPO CHINI

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers