MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 21, 2014

MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.
HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI)  amefariki dunia!

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers