BREAKING NEWS..AJALI MBAYA YA BASI LA TAQWA YATOKEA KONA YA MIKUMI...SOMA ZAIDI HAPA.. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 1, 2014

BREAKING NEWS..AJALI MBAYA YA BASI LA TAQWA YATOKEA KONA YA MIKUMI...SOMA ZAIDI HAPA..


Kuna ajali mbaya sana hapa kona ya Mikumi ikilihusisha basi la Taqwa.
Basi lililosaidia kubeba Majeruhi kupelekwa Mikumi hospital ni Princess Muro.

Basi lilikuwa ikijaribu ku overtake Lorry.
Ukiangalia vizuri utaona Mbao zimeingia kwenye basi hapo mbele.
Bado majeruhi wengi wanahitaji msaada bado wanatolewa taratibu.
Hadi sasa wamekufa watatu - 2 women 1 man.
Abiria aliyekuwepo anasema dereva aliyepatisha ajali si dereva. Madereva wawili walikuwa pembeni aliekuwa anaendesha ni msimamizi wao (Yaani Boss).

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers