BREAKING NEWSS....!MOTO MKUBWA UNACHOMA NYUMBA NA KUATHIRI NYUMBA ZAIDI YA 100 ZANZIBAR...! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, January 5, 2014

BREAKING NEWSS....!MOTO MKUBWA UNACHOMA NYUMBA NA KUATHIRI NYUMBA ZAIDI YA 100 ZANZIBAR...!Taarifa ilotufikia muda mfupi kua shoti ya umeme imeathiri nyumba takribani 100 katika mji wa Pemba kijiji cha Shumba mjini na mpaka hivi sasa hakujawezekana kuzimwa kwa moto huo kwa kutopatikana gari la kuzimia moto huu ni msiba mkubwa kwa ndugu zetu naomba tuwatakieni dua ili Allah awahafifishie mtihani huo....

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers