BREAKING NEWS....YANGA YAPIGA UKUTA NA USAJILI WA OKWI ONA KILICHOTOKEA! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 22, 2014

BREAKING NEWS....YANGA YAPIGA UKUTA NA USAJILI WA OKWI ONA KILICHOTOKEA!

Taarifa ambazo mtandao huu umezipata hivi punde jina la Emmanuel Okwi halijaidhinishwa kwenye usajili wa klabu ya Yanga.Kwa maana hiyo Okwi hataruhusiwa kucheza raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom mpaka sakata lake la usajili kutoka klabu ya Etoile du Sahel litakapotafutiwa ufumbuzi. Endelea kufuatilia mtandao huu kwa taarifa zaidi..........

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers