CHADEMA YAZIDI KUPATA PENGO..!! MWENYEKITI MWINGINE WA CHADEMA AVUA GWANDA NA KUKIMBILIA CCM | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, January 20, 2014

CHADEMA YAZIDI KUPATA PENGO..!! MWENYEKITI MWINGINE WA CHADEMA AVUA GWANDA NA KUKIMBILIA CCM


Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa lindi ndugu aly omary chitanda amejiunga na ccm huko nyumbani kwao nachinwea mkoani lindi,chitanda amesema ameamua kujiunga na ccm baada ya kugundua kuwa vyama vyote vya upinzani machoni vinaonekana kama taasisi kumbe kiuhalisia ni kundi la watu wanaofanya biashara ya siasa,my take chitanda umepotea njia,ccm haiwezi kurudi katika misingi yake,

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers