DIAMOND AMFANYIA SHOPPING YA NGUVU WEMA, NI ALIVYOKUA NCHINI KENYA....TAZAMA HAPA MIBONGE YA ZAWADI!!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, January 27, 2014

DIAMOND AMFANYIA SHOPPING YA NGUVU WEMA, NI ALIVYOKUA NCHINI KENYA....TAZAMA HAPA MIBONGE YA ZAWADI!!!

Diamond Platinumz ambaye alikuwa na music show nchini Kenya juzi aliamua kumnunulia mpenzi wake Wema Sepetu zawadi za perfume na mazagazaga mengine ya urembo ikiwa ni ishara ya wapendanao. kupitia Instagram Wema aliandika....


Angalia picha hapo chini Diamond akimnunulia Wema zawadi huko Kenya........
google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers