DIAMOND NI NOMA....TAZAMA PICHA ZAKE AKIWA NA KIKAO CHA DHARURA NA KUPIGA MENU NA MAWAZIRI BERNARD MEMBE NA PHILIP MULUGO PAMOJA NA RC WA LINDI | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, January 6, 2014

DIAMOND NI NOMA....TAZAMA PICHA ZAKE AKIWA NA KIKAO CHA DHARURA NA KUPIGA MENU NA MAWAZIRI BERNARD MEMBE NA PHILIP MULUGO PAMOJA NA RC WA LINDI

Napenda kuchukua fursa hii,kumshukuru   
mwenyezi Mungu Kwa kutupa uhai na nguvu 
ya Kuweza kufanya maonyesho yetu mjin  
Mtwara na Lind kwa mafanikio makubwa.
 Siwez sahau kuwashukuru wananchi kwa sapoti kubwa
waliyotupatia..lakin shukran za dhati kabisa.

Nizifikishe kwa waziri wetu mpendwa 

mheshimiwa, Bernad Membe kwa kutambua  
mziki wetu na mchango wetu katika jamii . Ambapo alinipa 
heshima ya kujumuika na Kula chakula cha pamoja Na mwisho kufanya mazungumzo..kikubwa Tulizungumzia mziki wetu na mchango wake na jinsi gani Ya kuukwamua na kuupeleka level tunayoiota kila siku. 

Kuufanya mziki wetu utambulike kimataifa Na utangaze nchi yetu. 
kikao hicho pia kilihudhuriwa na naibu,waziri wa Elim,Philp Mulugo na mkuu wa mkoa Lindi.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers