DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, January 20, 2014

DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS


Loveness Malinzi ‘Diva’.
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha.
Hamis Mandi ‘B 12’.
Watangazaji hao walisimamishwa na uongozi wa Clouds baada ya kuchoshwa na tabia yao ya utovu wa nidhamu hivi karibuni.
Adam Mchomvu.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers