DUA ZENU ZINAHITAJIKA HALI TETE KWA MSANII WA BONGO MOVIE JOHARI NA SASA AMELAZWA. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, January 23, 2014

DUA ZENU ZINAHITAJIKA HALI TETE KWA MSANII WA BONGO MOVIE JOHARI NA SASA AMELAZWA.


Mwana Dada na mwigizaji mkongwe Blandina Chagula maarufu Johari ni mgonjwa na amelazwa katika moja ya hospitali maarufu hapa jijini.
Ndugu wa karibu wa Johari ameshindwa kuweka wazi ni hospitali gani ambayo Johari amelazwa na kusema kuwa wanashindwa kusema mahali alipolazwa Johari kutokana na usumbufu wa waandishi wa habari ” kwakweli Johari anaumwa sana na tunaomba dua zenu tu” Alisema ndugu huyo wa johari.
@ Deogratius Shija

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers