DUH!! MTOTO WA WHITNEY HOUSTON AOLEWA NA KAKA YAKEMtoto wa aliyekuwa muimbaji wa muziki nchini Marekani Marehemu Whitney Houston, 'Bobbi Kristina'  hivi karibuni atangaza kuolewa rasmi na mwanaume anayejulikana kwa jina la Nick Gordon ambaye hapo awali ilidaiwa kuwa ni kaka yake.

Mtoto huyo alitangaza ndoa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo inadaiwa ameamua kuolewa na mpenzi wake huyo wa muda mrefu, ambaye alishawahi kuwa kaka yake 'Adopted Brother' huku ikidaiwa kuwa alishawahi kulelewa na familia ya Whitney kama mtoto wao.

Source:-Pro-24.blogspot.com
DUH!! MTOTO WA WHITNEY HOUSTON AOLEWA NA KAKA YAKE DUH!! MTOTO WA WHITNEY HOUSTON AOLEWA NA KAKA YAKE Reviewed by Linnah Lsquare on 5:41 AM Rating: 5
Powered by Blogger.