HABARI PICHAZ...AGNESS MASOGANGE LICHA YA FIGA PASUA KICHWA ALIYONAYO..ANAOGOPA KUTUMIA 'SILAHA' HIYO KUWANASA WAUME WA WATU...! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 8, 2014

HABARI PICHAZ...AGNESS MASOGANGE LICHA YA FIGA PASUA KICHWA ALIYONAYO..ANAOGOPA KUTUMIA 'SILAHA' HIYO KUWANASA WAUME WA WATU...!

VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu.

Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye soko la filamu, alisema anaogopa sana kuingia kwenye uhusiano na mume wa mtu ndiyo maana anaona bora aendelee na mpenzi wake wa siku zote kuepuka uhasama.


“Sina tabia ya kushobokea kabisa waume za watu,  bora niendelee na mtu wangu wa siku zote na kama tukishindwana basi bora nitafute mwingine lakini awe wangu peke yangu,” alisema Masogange.
 

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers