HATARI...MWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE AVAMIWA, APIGWA, ATUPWA UNUNIO | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 7, 2014

HATARI...MWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE AVAMIWA, APIGWA, ATUPWA UNUNIO


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya cha hicho, Joseph Yona akitolewa eneo la tukio. (Picha na Millard Ayo) MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Joseph Yona (33), amepigwa na watu wasiojulikana na kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio Kawe jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

Mashuhuda wa tukio hilo wanadai walisikia kelele za mtu kupigwa saa tisa usiku.
Mwenyekiti huyo anadai alichukuliwa nyumbani kwake Mtoni Kwa Aziz Ally na watu wasiojulikana waliokuwa na gari kama la polisi wakidai wananipelekea kituoni kabla ya kuanza kunishambulia kisha kunitupa.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers