HILI NDO BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LILILOTANGAZWA RASMI! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, January 19, 2014

HILI NDO BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LILILOTANGAZWA RASMI!Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue.
Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue ametangaza baraza jipya la mawaziri wakiwemo walioziba nafasi tano zilizokuwa wazi na wengine kuhamishiwa wizara nyingine!
MAWAZIRI WALIOZIBA NAFASI TANO ZILIZOKUWA WAZI
Waziri wa Fedha-Saada Mkuya,
 Waziri wa Maliasili na Utalii-Lazaro Nyalandu,
 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa-Hussein Mwinyi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchii-Mathias Chikawe,  
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi-Titus Kamani.

Asha Migiro ni waziri Katiba

Waziri wa Ulinzi Mwinyi

Malima Waziri Mdogo Fedha

Kebwe ni Waziri Mdogo Afya

Chikawe ni Waziri Mpya Ndani 

Mhagama Waziri Mdogo elimu 

Pindi chana Waziri Mdogo Watoto Kinana Mama

Dr. Lengeya Kamani Waziri wa Mifugo 

Waziri Mdogo Telele Mifugo

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers