HIZI NDO PICHA ZA AGNESS MASOGANGE ZILIZOVUJA AKIWA KITANDANI NA TUNDA MAN.....CHEKI HAPA! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, January 24, 2014

HIZI NDO PICHA ZA AGNESS MASOGANGE ZILIZOVUJA AKIWA KITANDANI NA TUNDA MAN.....CHEKI HAPA!


Habari zilizomfikia mdaku wa Bongoclan ni kua Kuna kitu kinaendelea chini kwa chini kati ya Tunda Man na Mwandada Agness Masogange. Website hii imeweza kupata picha za wawili hao wakiwa katika mapozi ya hatari hatari. Kitu kinachofanya tuwaze kua wameingia katika mahusiano ya mapenzi.

Katika picha hizo wawili hao wameonekana wakila bata chumbani huku wakijifotoa mapicha, bado tunafatilia undani wa story hii na siku si nyingi tutakuja na majibu. Picha hizi zinakuja siku chache tu baada ya Tund Man kutangaza kua alikua na uhusuiano wa kimapenzi na Rose Ndauka jambo ambalo Rose alilipinga kwa maneno makali. Kama ulipitwa na story hiyo unaweza isoma >>>>hapa<<<<


Na hizi ndo picha zenyewe
google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers