HUKUMU YA LIYUMBA YAAHIRISHWA HADI KESHO

Amatus Liyumba.
HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba imeahirishwa hadi kesho katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando baada ya leo kutokamilika.

HUKUMU YA LIYUMBA YAAHIRISHWA HADI KESHO HUKUMU YA LIYUMBA YAAHIRISHWA HADI KESHO Reviewed by Linnah Lsquare on 12:36 AM Rating: 5
Powered by Blogger.