HUKUMU YA LIYUMBA YAANZA KUSIKILIZWA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 15, 2014

HUKUMU YA LIYUMBA YAANZA KUSIKILIZWA

Amatus Liyumba.
HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba imeanza kusomwa muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo inasomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando. Liyumba ameingia mahakamani hapo kwa siri kubwa.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers