HUU NI UKATILI WA KUTISHA, MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE HUKO GEITA! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 15, 2014

HUU NI UKATILI WA KUTISHA, MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE HUKO GEITA!


Ikiwa ni muendelezo wa kukufichulia matukio ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake, kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na Televisheni ya EATV kila Jumanne saa tatu kamili usiku, wiki hii kimekufichulia kisa cha mwanamke aliyekatwa mkono na mume wake huko Geita.
Itazame video hii hapo chini:

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers