HUYU NDIYE MSANII WA KIKE KUTOKA NIGERIA ALIYETAJWA KUWA NA MVUTO ZAIDI KULIKO WOTE. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 14, 2014

HUYU NDIYE MSANII WA KIKE KUTOKA NIGERIA ALIYETAJWA KUWA NA MVUTO ZAIDI KULIKO WOTE.

             
Gazeti la Vanguard la Nigeria, limewatangaza waigizaji Tonto Dikeh na Yul Edochie kuwa ndio waliokuwa na mvuto zaidi Nollywood kwa mwaka 2013.

Kwa mujibu wa gazeti hilo waigizaji hao walipigiwa kura ma wasomaji kwa zaidi ya miezi mitatu na hatimaye washindi hao wakapatikana.

Nafasi ya pili ilienda kwa muigizaji Ebube Nwagbo kwa upande wa wanawake na wanaume ni Benson Okonkwo,

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers