INTERVIEW ALIYOIFANYA MWEZI ULIOPITA LESEGO MOTSEPE ‘LETTY MATEBANE’ WA ISIDINGO ALIEFARIKI JANA. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 21, 2014

INTERVIEW ALIYOIFANYA MWEZI ULIOPITA LESEGO MOTSEPE ‘LETTY MATEBANE’ WA ISIDINGO ALIEFARIKI JANA.


Taarifa zilizotoka zinasema Motsepe ambae alijitangaza kuishi na virusi vya UKIMWI mwishoni mwa mwaka 2011 amekutwa amefariki saa tano asubuhi nyumbani kwake.


Hii picha hapa na hiyo ya juu ni wakati alipokua kwenye hiyo interview ambayo unaweza kuitazama hapa chini.

Kama hii taarifa ilikupita unaweza kusoma kwenye post iliyopita ila kwa post hii nakupatia nafasi utazame tu interview yake ya TV aliyoifanya December 2013.google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers