JACKIE CLIFF ARUDI URAIANI??? HIKI NDIO ALICHOPOST INSTAGRAM MUDA MCHACHE ULIOPITA! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 15, 2014

JACKIE CLIFF ARUDI URAIANI??? HIKI NDIO ALICHOPOST INSTAGRAM MUDA MCHACHE ULIOPITA!


Sijui ni ka mchezo gani ila ndio hivyo Jack Cliff anaye semekana alikamatwa na madawa ya kulevya chini amepost picha hiyo kwenye instragram yake.....Hata masogange ilikuwa hivi hivi alianza kupost post picha zake mara tukasikia kaachiwa.....

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers