JAGUAR AFUNGUKA ALIVYOKUJA BONGO JUU YA GARI ALILONUNUA YEYE LENYE THAMANI YA MILIONI 250 ZA KITANZANIA NA KUHUSU GARI ALIYONUNUA PREZZO. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 21, 2014

JAGUAR AFUNGUKA ALIVYOKUJA BONGO JUU YA GARI ALILONUNUA YEYE LENYE THAMANI YA MILIONI 250 ZA KITANZANIA NA KUHUSU GARI ALIYONUNUA PREZZO.

Akihojiwa na Kipindi cha XXl cha Cloudsfm mchana Huu Jaguar mwana muziki maarufu kutoka Kenya, Hivi karibuni wameingia kwenye headline Baada ya Jaguar kununua gari yenye thamani ya Tsh 250 za kitanzania na gari hiyo kuonekana katika Baadhi ya mitandao. Prezzo naye hakuwa nyuma kujibu mapigo kwa kutupia gari yake mpya yenye thamani ya Tsh milion16 za kitanzania.
Alichokisema Jaguar zaidi ni kwamba kwaani hashindani na Prezzo katika ununuaji wa magari, pia alizungumza na kusema kuwa gari aliyonunua Prezzo inaingia mara 16 ya gari ya Jaguar hivyo haoni sababu ya kuifananisha gari yake na Prezoo. Mahasimu hawa mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa kifedha.

Gari ya Jaguar Hii Hapa Chini
Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na ngazi za kupandia jukwaani.  

12

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers