JE,WAJUA?!!DIAMOND PLATINUMZ NI KAMA MKALI JUSTINE BIEBER 'JB'....SOMA ZAIDI HAPA....! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, January 5, 2014

JE,WAJUA?!!DIAMOND PLATINUMZ NI KAMA MKALI JUSTINE BIEBER 'JB'....SOMA ZAIDI HAPA....!

Katika kuanza kwa mwaka mpya 2014,ni baadhi tu ya celebz ambao unaweza sema kweli wamefanikiwa kuanza mwaka huu vizuri ukizingatia mambo hapo mwanzo,hasa mwishoni mwa mwaka jana hayakuwa mazuri kivile kwa upande mmoja au mwingine,na hii ni kwa upande wa malavidavi tu.


Ukiangalia kati ya celebz walio kuwa na drama nyingi katika realationship zao,kwa hapa bongo tutakuwa tunamuongelea raisi wa wasafi mwenyewe mr diamond platnum,ambaye kwa mwaka uliopita mambo yake hayakuwa yanaenda poa kiviile kutokana na kuandamwa na skendo nyingi ambazo most of them weren’t true,ilikuwa ni pamoja na kuachana na mpenzi wake Wema Sepetu.Ila kwa mwanzoni tu mwa mwaka huu inasemekana kuwa mambo yake yamerudi juu ya mstari baada ya kurudiana na mpenzi wake huyo,ingawa haijajulikana bado officially but goose bumps are there between those two love birds,huku wakishindwa kujizuia pale wanaponekana in public,Wema Sepetu ni actress maarufu wa movie za bongo maarufu kama bongo movie.
Latest picture(Selfie) ya justine bieber akiwa na Selena Gome

Tusimsahau pia Justine beiber,huyu nae ni msanii maarufu mwenye umri mdogo huko marekani na yeye inaonekana kauanza mwaka huu vizuri,ni baada ya kubwagana mara kwa mara na mpenzi wake ambaye pia ni msanii wa muziki aitwaye Selena Gomez,na mara ya mwisho kutemana kimoja mwaka 2012 huku fans wakiamini kuwa hawawezi kurudiana tena,mapema mwaka huu wawili hao walionekana wakipozz pamoja katika picha maarufu kama selfie huku justine aki-admit kuwa bado anampenda mpenzi wake huyo.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers