KITUO CHA BBC CHAWATAJA WASANII WA AFRIKA WATAKAO FANYA VIZURI ZAIDI BARANI AFRIKA MWAKA 2014..!! DIAMOND NAYE YUPO KATIKA LIST HIYO | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, January 10, 2014

KITUO CHA BBC CHAWATAJA WASANII WA AFRIKA WATAKAO FANYA VIZURI ZAIDI BARANI AFRIKA MWAKA 2014..!! DIAMOND NAYE YUPO KATIKA LIST HIYO

DJ wa kituo cha radio maarufu kwa burudani nchini Uingereza kilicho chini ya shirika la habari la Uingereza, BBC cha BBC Radio 1Xtra, DJ Edu, amemtaja Diamond Platnumz, miongoni mwa wasanii watano wenye dalili za kufanya vizuri barani Afrika mwaka 2014.DJ EduSio Diamond Plutnumz Pekee aliyetawa bali wasanii wengine waliotabiriwa kufanya vizuri Afrika ni pamoja na Kaysha,(msanii wa DRC aishie Ufaransa), Wyre wa Kenya, Radio na Weasel wa Uganda na King James wa Rwanda.

Bonyeza hapa kumsikia DJ Edu akiwaelezea.

Kaysha


Radio and Weasel
King James
Wyre

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers