KWELI POMBE SIO CHAI...LULU AFUNGUKA YALOMKUTA....!SOMA ZAIDI HAPA... | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, January 23, 2014

KWELI POMBE SIO CHAI...LULU AFUNGUKA YALOMKUTA....!SOMA ZAIDI HAPA...


Na Imelda Mtema
MSANII wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa sasa hivi anaiogopa na kuiheshimu sana pombe akiamini kwamba ndiyo chanzo cha maisha kuharibika.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Lulu alisema tangu ametoka gerezani ameamua kujiweka pembeni na kilevi hicho na kwamba bora aitwe mshamba.
“Kiukweli nikiiona pombe kuna wakati naipa shikamoo kwani ndiyo kichocheo cha kila baya hapa duniani, watakaoniona mshamba kwa kubadilika kwangu wanione hivyohivyo,” alisema Lulu.
Msanii huyo kipindi cha nyumba alikuwa hakamatiki kwa kilevi na kuna wakati aliwahi kuzimika alipofakamia pombe za ofa alipokuwa ndani ya Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers