MAJAMBAZI WALIVYOMUUA MLINZI GHALA LA BIA ZA SERENGETI MOROGORO LIVE!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, January 3, 2014

MAJAMBAZI WALIVYOMUUA MLINZI GHALA LA BIA ZA SERENGETI MOROGORO LIVE!!


MWILI wa mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Sengo Morogoro, Juma Mazengo ukiwa umefungwa kamba nyuma ya mgongo wake baada ya watu wasiofahamika kumvamia na kumuua katika lindo usiku wa manane wa januari 02/2014 katika ghala la kampuni ya bie ya Serengeti, ghala ambalo lipo nyuma ya gereji ya Abood Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro ambapo eneo la tukio mwili huo ulikuwa umekutwa umefungwa kamba na kutapakaa damu.PHOTO/MTANDA BLOG


Kando ya mwili wa marehemu Mazengo ilikuwatwa bisibisi iliyolowa damu huenda ikawa imetumika katika mauaji hayo ambapo baada ya kutekeleza mauaji hayo, silaha aina ya bunduki bado haijaoenekana na kudhani huenda wahalifu hao wameondoka nayo, jeshi la polisi mkoa wa Morogoro linafanya uchunguzi wa tukio hilo ili sheria kuweza kuchukua mkondo wake. PHOTO/MTANDA BLOG

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers