MAJANGA YAZIDI KUMUELEMEA MH.ZITO KABWE..CHADEMA Mwanza yampiga marufuku Zitto kukanyaga Kanda ya Ziwa..!!

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa kimesema hakitaki kumuona Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kwa kuwa ni msaliti.
Pia kimewatahadharisha viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa kwamba yeyote atakayeonekana kuwa karibu na Zitto katika shughuli za chama au kutoa siri, atashughulikia haraka na kuwekwa kwenye kundi la wasaliti.
MAJANGA YAZIDI KUMUELEMEA MH.ZITO KABWE..CHADEMA Mwanza yampiga marufuku Zitto kukanyaga Kanda ya Ziwa..!! MAJANGA YAZIDI KUMUELEMEA MH.ZITO KABWE..CHADEMA Mwanza yampiga marufuku Zitto kukanyaga Kanda ya Ziwa..!! Reviewed by Linnah Lsquare on 5:29 AM Rating: 5
Powered by Blogger.