MAJANGA.....MTUNGI WAMFANYA SHAMSA APOTEZE UTULIVU KIKAONI. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, January 5, 2014

MAJANGA.....MTUNGI WAMFANYA SHAMSA APOTEZE UTULIVU KIKAONI.

Stori: Deogratius Mongela

UA zuri kunako anga la sinema Bongo, Shamsa Ford amejikuta akipoteza utulivu kikaoni kufuatia kuinuka na kuzama toileti mara kwa mara.

Shamsa Ford.
Tukio hilo lilichukua nafasi hivi karibuni kwenye kikao cha mdahalo wa kugombea nafasi za viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movies katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar.
Tathmini za paparazi wetu, Shamsa aliyeonekana akipiga mtungi kiaina, zilibaini kuwa staa huyo aliinuka kwenda toileti zaidi ya mara sita hivyo kufanya watu wapoteze utulivu kwa kumuangalia.
“Mh! Hii kali sasa, bora angesubiri kikao kiishe ndiyo apige mtungi sasa hapa anatibua hali ya hewa,” alisikika mwigizaji mmoja mkubwa.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers