MAJANGAZZZZZZZ..........MSANII WA BONGO MUVI ATONGOZWA NA SHOGA....SOMA HAPA!!

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya kutongozwa na shoga.
Deogratius Shija.
Akitema mbili tatu na paparazi wetu, Shija alisema tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Ukumbi wa Traventine-Magomeni, Dar ambapo alitoka na kwenda msalani akiwa hajui hili wala lile alishtuka baada ya kumsikia mwanaume akimpapasa huku akimwambia kuwa anampenda.
“Nilimshtukia kumbe ni shoga. Mapenzi ya jinsia moja ni dhambi kubwa sana kwa Mungu, sijawahi na sitaweza kufanya dhambi hiyo milele mimi ni Mkristo niliyekamilika, nawashangaa wanaume wanaofanya uchafu huo,” alisema Shija.
MAJANGAZZZZZZZ..........MSANII WA BONGO MUVI ATONGOZWA NA SHOGA....SOMA HAPA!! MAJANGAZZZZZZZ..........MSANII WA BONGO MUVI ATONGOZWA NA SHOGA....SOMA HAPA!! Reviewed by Linnah Lsquare on 11:11 PM Rating: 5
Powered by Blogger.