MAJONZI VIWANJA VYA KARIMJEE..MWILI WA DK MGIMWA WAAGWA JIJINI DAR | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, January 5, 2014

MAJONZI VIWANJA VYA KARIMJEE..MWILI WA DK MGIMWA WAAGWA JIJINI DARAliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa enzi za uhai wake.
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa kwa sasa unaagwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa maziko. Dk. Mgimwa alifariki dunia Januari 1 mwaka huu akiwa Hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers