MAKUBWA HAYA......BI. MWENDA ARUDIA ENZI ZA USICHANA....ABANDIKA KOPE ZA BANDIA....TAZAMA PICHA HAPA! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, January 19, 2014

MAKUBWA HAYA......BI. MWENDA ARUDIA ENZI ZA USICHANA....ABANDIKA KOPE ZA BANDIA....TAZAMA PICHA HAPA!

Stori: Hamida Hassan
LICHA ya umri kumtupa mkono, mkongwe wa sanaa ya maigizo Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ amewastaajabisha mashabiki wake baada ya kunaswa akiwa amebandika kope za bandia.
Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’.
Tukio hilo lilijiri juzikati jijini Dar wakati staa huyo alipokuwa katika harakati za hapa na pale ndipo paparazi wetu alipomshtukia na kumtandika picha kadhaa kisha kumuuliza, kulikoni?
“Hahaha! Jamani hebu mniache kidogo na mimi nataka niende na wakati kwanza ni vigumu kunibaini kama nimeweka kope hizi hasa ukiwa siyo mfuatiliaji wa mambo haya,” alisema Bi. Mwenda.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers