MASKINI......Picha za msanii Jaguar akiwa ndani ya jelaPicha hizi zimezua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi na kuwekwa jela?.
Jibu lake ni kwamba msanii huyu anajiandaa kutoa kazi mpya inaitwa “Kioo”.
Wimbo huo ilikupata video nzuri ndio sababu iliyomfanya aende hadi  jela ambapo picha hizi ndipo zimepigwa.
Mashuhuda wanasema kwamba wafungwa wa jela hiyo walifurahi kumuona Jaguar ambaye alijichanganya pamoja nao
jaguar3
jaguar2
jaguar4
jaguar5

MASKINI......Picha za msanii Jaguar akiwa ndani ya jela MASKINI......Picha za msanii Jaguar akiwa ndani ya jela Reviewed by Linnah Lsquare on 5:49 AM Rating: 5
Powered by Blogger.