MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK....TAZAMA PICHA HAPA UJIONEE MWENYEWE.

Na Mwandishi Wetu
VIDEO Queen, Agnes Jerald ‘Masogange’ hivi karibuni alibambwa maeneo ya Sinza Kamanyola jijini Dar akijiachia na anayetajwa kuwa ni mpenzi wa Jack Patrick, Juma Khalid ‘Jux’.
Masogange akipozi na Jux.
Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya.

http://api.ning.com/files/Iht4Psekqy0wttdXe*EsPRkqo*eRW*Qp69gUzbFS7smv8PTpbqof801LuB2JiAsnEHN0DmKCmtkMNQ9uNA-PB4Cq4PCBRIbh/jacknajux.jpg%3Fwidth%3D650Jux akiwa na mpenzi wake Jack Patrick.
Akiuzungumzia ukaribu wake na Jux, Masogange alisema: “Wala hakuna lolote kati yangu na yeye. Mimi na wale akina Jux pamoja na dada yake ni watu wangu wa karibu sana tunaojuana muda mrefu hivyo tulikuwa  tunabadilishana mawazo tu.”
Masogange akiwa na Jack.
Jux na Jack wamekuwa wakionekana katika mitaa ya China wakila bata huku kukiwa na madai kuwa ni wapenzi na kuonekana kwa Jux na Masogange wakijiachia kumeibua maswali mengi.
MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK....TAZAMA PICHA HAPA UJIONEE MWENYEWE. MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK....TAZAMA PICHA HAPA UJIONEE MWENYEWE. Reviewed by Linnah Lsquare on 9:36 PM Rating: 5
Powered by Blogger.