MEYA BUKOBA AJIUZULU, MKURUGENZI WAKE AVULIWA UONGOZI | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, January 17, 2014

MEYA BUKOBA AJIUZULU, MKURUGENZI WAKE AVULIWA UONGOZIMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh akisoma ripoti ya ukaguzi maalum iliyowaondoa viongozi wa manisapaa Bukoba.

 
MEYA wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani amejiuzulu wakati Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Khamis Kaputa na wakuu  wa idara tatu ambao ni Mhandisi Nimzihilwa, Ofisa  Ugavi Baraka Marwa na Mweka Hazina Ulomi wakivuliwa uongozi baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh iliyosomwa leo katika ofisi za Mkuu wa Mkoa Kagera kutatua mgogoro uliokuwepo katika manispaa hiyo.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers