MISS TZ ACHUANA KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA DEMU WA PREZZO NA KUZIACHIA MTANDAONI. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, January 16, 2014

MISS TZ ACHUANA KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA DEMU WA PREZZO NA KUZIACHIA MTANDAONI.

MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu.


Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’.

 
Huddah Menroe.
Hamisa ambaye hivi karibuni alipata zali ya kupamba jarida moja la burudani nchini Kenya kwa picha iliyo kinyume na maadili, anadaiwa kupiga picha nyingi za kihasara huku ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa anachuana na Huddah.

 
Hamisa.


 
Huddah.
“Unajua kwa huku Kenya Huddah anasifika kwa picha chafu, sasa hizi alizopiga Hamisa zimemfanya Huddah naye kutupia yake nyingine ya utupu, yaani ni kama wanachuana vile,” alisema mmoja wa wadau wa burudani aliyejitambulisha kwa jina la Japhet.

GPL

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers