MTAZAME MSANII SUPER STAR JAGUAR WA KENYA NA NDEGE YAKE NDOGO ALIIYOITUMIA KUJA NAYO BONGO LIVE!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, January 20, 2014

MTAZAME MSANII SUPER STAR JAGUAR WA KENYA NA NDEGE YAKE NDOGO ALIIYOITUMIA KUJA NAYO BONGO LIVE!!

Jaguar msanii wa Kenya anatajwa kama masanii mwenye mafanikio kwenye muziki na kwenye biashara binafsi.
Jaguar pamoja na team yake walikuja Dar kwa ajili ya promotion ya wimbo wake mpya “Kioo”.
Unaambiwa kutoka Kenya kuja Tanzania msanii huyu hakupanda ndege za kawaida bali alikuja na ndege yake binafsi ambayo imeandikwa Air Jaguar.
jaguar
jaguar2
jaguar4


google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers