MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE JOSEPH YONA AHAMISHIWA MOI | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 7, 2014

MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE JOSEPH YONA AHAMISHIWA MOI

Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Joseph Yona akipelekwa Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI) kutoka wodini.
...Baadhi ya majeraha aliyoyapata Yona baada ya kupigwa na watu wasiojulikana.

Joseph Yona akiingizwa katika Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI).
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Joseph Yona (33), aliyepigwa na watu wasiojulikana kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio Kawe jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo, ametolewa wodini katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuhamishiwa katika Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI).
(PICHA NA MAKONGORO OGING' / GPL)

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers