NA HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA YANGA UMOJA WA MATAIFA ALIYEKUWA AWE KOCHA WA MAN U MCHECK HAPA LIVE!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, January 14, 2014

NA HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA YANGA UMOJA WA MATAIFA ALIYEKUWA AWE KOCHA WA MAN U MCHECK HAPA LIVE!! Kocha huyo aliondoka jana alasiri kwenda nchini Uturuki kujiunga na Kocha Msaidizi wa timu hiyo,Charles Boniface Mkwasa na kikosi kizima cha Yanga.Kocha huyo ambaye amesaini mkataba wa miezi sita ya awali na klabu hiyo,amesema amejipanga vyema kukinoa kikosi hicho pamoja na mambo mengi mno kwa klabu hiyo,ambapo pia amesema anamjua vizuri kocha wa Simba Logarusic ambaye mwaka 2012 alimchapa kwa mabao 4-1 wakati huo Plujim akifundisha Berekum Chelsea ya Ghana na Loga akiwa Ashanti Goldb SC.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers