NA HUYU NDIYE NAIBU WAZIRI MPYA WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS CHECK ALIPOFUNGUKA LEO!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, January 20, 2014

NA HUYU NDIYE NAIBU WAZIRI MPYA WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS CHECK ALIPOFUNGUKA LEO!!


"Nawashukuru sana wapendwa wangu kwa pongezi zenu kwa uteuzi mpya - Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais.
Kama kiongozi kijana nafarijika kupata fursa ya kuwa exposed kwenye changamoto mbalimbali za maendeleo ktk nchi yetu. Naamini mtaendelea kunipa ushirikiano ktk majukumu yangu mapya. Mwenyezi Mungu awabariki!"

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers