P-SQUARE WAZIDI KUONYESHA JEURI YA FEDHA..!! SASA WANUNUA MIJENGO MIWILI YA KIFAHARI NCHINI MAREKANI, TAZAMA PICHA ZA MIJENGO HIYO HAPA. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, January 19, 2014

P-SQUARE WAZIDI KUONYESHA JEURI YA FEDHA..!! SASA WANUNUA MIJENGO MIWILI YA KIFAHARI NCHINI MAREKANI, TAZAMA PICHA ZA MIJENGO HIYO HAPA.

Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wanazidi kuwekeza kwa kununua mijengo ya kifahari nchini Marekani. Baada ya mwaka jana kununua nyumba huko San Francisco, mapacha hao sasa wamenunua nyumba mbili za kifahari kwenye mjini wa Buckhead uliopo jijini Atlanda, Georgia nchini Marekani.


Peter ameshare picha za nyumba hizo kwenye Instagram ambapo kwenye picha moja ameandika: Bought ourselves two new homes in Atlanta GA. Thank u Lord.”

Hizi ni picha zingine.

Office to be converted to a Recording studio in few weeks

99d5f590811711e3a85a123d1f091a92_8

486b6414811811e385290eef395711aa_8

893cb4c8811511e384190eb0ff8c5c10_8

03050c08811911e3bac70e7756f90533_8

6383fd84811711e382e61236f58d57db_8

b2169e1c811611e3b03c122316c9835a_8


be0a652a811411e3813412641a6a3562_8

c396e454811511e3ba901269f61f7b05_8

master

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers