PICHAA...MJENGO MKALI UNAOTARAJIWA KUWA KIVUTIO KIKUBWA CHA ARUSHA 2015...JIONEE MWENYEWE HAPA.... | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, January 15, 2014

PICHAA...MJENGO MKALI UNAOTARAJIWA KUWA KIVUTIO KIKUBWA CHA ARUSHA 2015...JIONEE MWENYEWE HAPA....Mfuko wa PPF unaendelea na uwekezaji katika miradi ya ujenzi na kwa sasa kuna jengo kubwa linaendelea na ujenzi wake katika Barabara ya Old Moshi Jijini Arusha. Jengo hilo ni kwa ajili ya huduma za kibiashara na ofisi mbalimbali.
Jengo hilo linatazamiwa kuonekana kama picha inavyoonesha pindi likikamilika mwishoni mwa mwaka 2015

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers