PICHAZ..M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA: DK SLAA, MSIGWA WAWASHA MOTO RUVUMA... | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, January 23, 2014

PICHAZ..M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA: DK SLAA, MSIGWA WAWASHA MOTO RUVUMA...

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa akiongea na wakazi wa Songea mkoani Ruvuma.
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willbroad Slaa pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa wakitumia usafiri wa anga jana walianza kuwasha moto mkoani Ruvuma katika M4C- Operesheni Pamoja Daima.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers