PICHAZ...MWANAMITINDO MKALI WA BONGO; BELINA AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE....!

MWANAMITINDO maarafu Bongo, Belina Mgeni amejifungua mtoto wa kike.
Mrembo huyo alijifungua juzikati katika Hospitali ya TMJ, iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam ambapo mwanamitindo huyo hakusita kuanika furaha yake mbele ya paparazi wetu kisha akatangaza jina la kichanga hicho, Naila.

Mtoto wa Belina.

“Kiukweli siku zote ukimuomba Mungu unafanikiwa kwani nilikuwa naomba sana nipate mtoto wa kike na kweli imekuwa, namshukuru Mungu jamani,” alisema Belina pasipo kumuanika baba wa mtoto huyo.
PICHAZ...MWANAMITINDO MKALI WA BONGO; BELINA AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE....! PICHAZ...MWANAMITINDO MKALI WA BONGO; BELINA AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE....! Reviewed by Linnah Lsquare on 12:39 AM Rating: 5
Powered by Blogger.